Thursday, January 11, 2018

Home
KIMATAIFA
JIJI LA DAR LASHINDA TUZO YA KWANZA BARANI AFRIKA YA HUDUMA BORA YA USAFIRI ENDELEVU MWAKA 2018 JIJINI WASHINGTON, D.C., MAREKANI
JIJI LA DAR LASHINDA TUZO YA KWANZA BARANI AFRIKA YA HUDUMA BORA YA USAFIRI ENDELEVU MWAKA 2018 JIJINI WASHINGTON, D.C., MAREKANI
Balozi wa Tanzania katika nchi za Marekani na Mexico, Mhe. Wilson M. Masilingi, alipokea Tuzo ya Huduma Bora ya Usafiri Endelevu Mwaka 2018 (Sustainable Transport Award) kwa Jiji la Dar es Salaam kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 09 Januari, 2018. Balozi Wilson M. Masilingi aliambatana na Naibu Katibu Mkuu (E) kutoka OR - TAMISEMI Bw. Tixon Nzunda, Mwenyekiti wa Bodi ya DART, Profesa David Mfinanga pamoja na Mtendaji Mkuu wa DART Mhandisi Ronald Lwakatare.
Sehemu ya Hotuba ya Mhe. Balozi Masilingi inasema:
"On behalf of my Government and people of the United Republic of Tanzania, I would like to take this opportunity to express my sincere gratitude to the Respected Jury members for selecting Dar es Salaam City and honouring us with this prestigious “Sustainable Transport” Award. I also thank the Institute of Transportation and Development Policy (ITDP) for inviting us to this historical event, Sustainable Transport Award Ceremony 2018, in Washington D.C. in this great Country the United States of America.
I bring to this "Sustainable Transport Award 2018" Ceremony warm greetings and best wishes for this New Year from His Excellency Dr. John Pombe Joseph Magufuli, the President of the United Republic of Tanzania. The Government and people of the United Republic of Tanzania are greatly honoured to receive this prestigious Sustainable Transport Award 2018 given to the City of Dar es Salaam, Tanzania. We humbly and happily accept the Award as the first City in Africa to receive such an honour. Thanks to the Visionary and decisive leadership of our past President’s and the current President of our country H.E. Dr. John Pombe Joseph Magufuli. The Exemplary take off of our six phased Dar es Salaam Bus Rapid Transit Project (DART System) is due to their good leadership. We also sincerely thank our partners the World Bank and the Institute for Transportation and Development Policy (ITDP) for the cooperation and support in raising the required finances and technical guidance to achieve sustainable transportation."
Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi akitoa hotuba ya shukurani, kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu (E) kutoka OR - TAMISEMI Bw. Tixon Nzunda
Mhe. Balozi Wilson Masilingi akishika tuzo pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya DART, Profesa David Mfinanga na Mtendaji Mkuu wa DART Mhandisi Ronald Lwakatare.
Mhe. Balozi Wilson Masilingi akiwa na viongozi wa ITDP (The Institute for Transportation and Development Policy) na washindi wa Tuzo wa miaka iliyopita.
Mhe. Balozi Wilson Masilingi, Bw. Tixon Nzunda, Mhandisi Ronald Lwakatare, Profesa David Mfinanga pamoja na Watanzania walioshiriki waishio Marekani katika hafla ya kupokea tuzo.
Mhe. Balozi Wilson Masilingi akiwa katika katika picha ya pamoja na Wasimamizi wa Taasisi ya kutoa Tuzo "Institute for Transport and Development Policy (ITDP)".
Tags
# KIMATAIFA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
SERENGETI LITE MDHAMINI RASMI LIGI YA SOKA LA WANAWAKE
Older Article
DKT.SHEIN AZINDUA SOKO LA KINYASINI
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi
Hassani MakeroFeb 16, 2025RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA MSUMBIJI
Hassani MakeroFeb 15, 2025A Tanzania doctor receives International Award
kilole mzeeJan 15, 2025
Labels:
KIMATAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment