Washiriki na waangalizi mbalimbali wakifuatilia kwa makini mashindano hayo
Katibu wa chama cha mpira wa kikapu mkoa wa Simiyu, Bakari Ramahani akichezesha mechi
Katibu wa chama cha mpira wa kikapu mkoa wa Simiyu, Bakari Ramahani akichezesha mechi
Michezo hujenga afya na kuwakutanisha watu, baadhi ya washiriki walipata nafasi ya kupiga picha pamoja wakati wa mashindano hayo.
Na Juma Mbonde - Simiyu
Akizungumza na mwandishi wetu Katibu wa chama cha mpira wa kikapu mkoa wa Simiyu, Bakari Ramahani alitoa shukrani kwa viongozi wote wa kila wilaya, wachezaji na wadau wote waliofanikisha kwa namna moja au nyingine katika kusaidia ligi hii ya mkoa kukamilisha mzunguuko wake wa pili na timu mbili kufanikiwa kutinga hatua ya fainali.
No comments:
Post a Comment