JUMUIYA YA MABOHORA YAENDELEA KUPELEKA MISAADA HOSTELI YA MAGUFULI KUPAMBANA NA UGONJWA WA CORONA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Monday, April 13, 2020

JUMUIYA YA MABOHORA YAENDELEA KUPELEKA MISAADA HOSTELI YA MAGUFULI KUPAMBANA NA UGONJWA WA CORONA

Jumuiya ya MABOHORA Dsm, imeendelea kupeleka vifaa muhimu katika Hosteli za Magufuli kusaidia Juhudi za Serikali dhidi ya COVID 19 RESPONSE TEAM kupambana na janga la CORONA VIRUS.
Baadhi ya watu waliowekwa Karantini katika Hosteli hizo wakipatiwa chakula na Watendaji wa jumuia hiyo.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages