Taasisi Ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Yatoa Zawadi Kwa Watoto - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, April 9, 2020

Taasisi Ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Yatoa Zawadi Kwa Watoto

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi mtoto mwenye matatizo ya moyo aliyelazwa katika Taasisi hiyo Elizabeth Omari zawadi ya Pasaka wakati wa ugawaji wa zawadi hizo kwa watoto leo Jijini Dar es Salaam.

Maafisa Uuguzi wa wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Kurugenzi ya huduma ya Uuguzi Robert Mallya kumkabidhi zawadi ya pasaka mama wa mtoto Wilson Willium wakati wa ugawaji wa zawadi hizo kwa watoto leo Jijini Dar es Salaam.

Maafisa Uuguzi wa wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Kurugenzi ya huduma ya Uuguzi Robert Mallya kumkabidhi zawadi ya pasaka mama wa mtoto Silvanus Brayton  wakati wa ugawaji wa zawadi hizo kwa watoto leo Jijini Dar es Salaam
Maafisa Uuguzi wa wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Teresia Marombe na Rehema Bakari wakimkabidhi mtoto mwenye matatizo ya moyo aliyelazwa katika Taasisi hiyo Ikram Samari zawadi ya pasaka wakati wa ugawaji wa zawadi hizo kwa watoto leo Jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages