Viongozi wa Idara ya Usingizi na Ganzi wa MNH-Mloganzila katika picha ya pamoja na wahitimu wa mafunzo hayo.
Mkuu wa Idara ya Usingizi na Ganzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, Dkt. Phillip Muhochi (kulia) akimkabidhi cheti mhitimu wa mafunzo ya mwaka mmoja ngazi ya cheti ya kozi ya usingizi na ganzi Bw. Israel.
Mwasenga.


No comments:
Post a Comment