Rais wa Uturuki azungumza na kansela wa Ujerumani Bi Angeşa Merkek kuhusu covid-19.
Recep Tayyıp Erdoğan, rais wa Uturuki amezungumza kwa njia ya simu na Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel kuhusu mapambano dhidi ya virusi vya corona kwa ushirikiano.
Recep Tayyıp Erdoğan, rais wa Uturuki amezungumza kwa njia ya simu na Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel kuhusu mapambano dhidi ya virusi vya corona kwa ushirikiano.
Katika mazungumzo yao viongozi hao wawili wamejadili kuhusu ushirikiano katika kukabiliana na virui hivyo hatari ambavyo vimekwishasababisha vifo vya watu zaidi ya 200 000 ulimwenguni.
Ujerumani na Uturuki na mataifa washirika kwa muda mrefu katika historia.
Taarifa hiyo imetolewa na kitengo kinachohusika na upashaji habari ikulu mjini Ankara.
No comments:
Post a Comment