Mkuu
wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda anawakumbusha wananchi wote wa Mkoa
wa Dar es salaam kuwa Siku ya kesho Jumatatu ya tarehe 4 May 2020 ndio siku ya Mwisho
ya wananchi kuhakiki taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Kutokana
na hilo RC Makonda anawahimiza kufika kwenye Vituo Walivyojiandikisha ili
waweze kuhakiki Taarifa zao.
No comments:
Post a Comment