Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, akimsikiliza Kamanda wa Kikosi cha Mbwa na Farasi ASP M.T.Kyariga, juu ya ufugaji pamoja na matunzo ya Farasi wakati wa ziara yake ya siku moja aliofanya kikosini hapo Kurasini jijini Dar es salaa.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Kamanda wa Kikosi cha Mbwa na Farasi ASP M.T.Kyariga pamoja na Maafisa na Wakaguzi wa kikosi cha Mbwa na Farasi jijini Dar Es Salaam baada ya kumaliza ziara yake ya siku moja. (PICHA NA JESHI LA POLISI)
No comments:
Post a Comment