DKT CHARLES KIMEI ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, July 14, 2020

DKT CHARLES KIMEI ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO

Na Dixon Busagaga, Moshi

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt Charles Kimei amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika jimbo la Vunjo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, hali inayoashiria uwepo wa mchuano mkali miongoni mwa makada wa Chama hicho waliojitokeza kuchukua fomu hii leo.

Ikumbukwe Jimbo la Vunjo limekuwa chini ya James Mbatia ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR-Mageuzi Taifa.



No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages