DKT.NDUMBARO AMBATANA NA MKE WAKE KUCHUKUA FOMU YA UBUNGE SONGEA MJINI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, July 17, 2020

DKT.NDUMBARO AMBATANA NA MKE WAKE KUCHUKUA FOMU YA UBUNGE SONGEA MJINI

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ameambatana na Mke wake Bi. Florah Ndumbaro leo Julai 17, 2020 amefika katika Ofisi Kuu ya CCM ya Wilaya ya Songea Mjini kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kuwawakilisha wananchi wa Jimbo la Songea Mjini katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
   
No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages