KATIBU MKUU WA CCM, DK. BASHIRU ALLY APOKEA GARI MAALUM LA KAMPENI, JIJINI DODOMA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Wednesday, July 8, 2020

KATIBU MKUU WA CCM, DK. BASHIRU ALLY APOKEA GARI MAALUM LA KAMPENI, JIJINI DODOMA

Gari maalum litakalotumika na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT) wakati wa kampeni za uchaguzi ikiingia katika Ukumbi Jakaya Kikwete baada ya kulipokea na Katibu Mkuu CCM, Dk. Bahiru Ally, Makao Mkuu ya CCM jijini Dodoma jana. (Picha na CCM)
Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, akiendesha gari maalum ambalo litatumiwa na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT) wakati wa kampeni za uchaguzi baada ya kuipokea Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma leo. (Picha na CCM)

Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, akikagua gari maalum litakalotumika na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT) wakati wa kampeni za uchaguzi baada ya kulipokea Makao Mkuu ya CCM jijini Dodoma jana. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk. Abdulla Juma Mabodi. (Picha na CCM)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages