Mkurungezi Mtendaji Wa Tigo Simon Karikari Atembelea Banda Tigo SabaSaba - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, July 7, 2020

Mkurungezi Mtendaji Wa Tigo Simon Karikari Atembelea Banda Tigo SabaSaba

Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Mawasiliano Tigo Bw.Simon Karikari akipata maelezo Kutoka kwa watoa huduma kutusu huduma ya Tigo pesa mapema leo. Tigo inaendelea kutoa ofa kabambe za simu na vifurushi kwa wateja katika msimu huu wa sabasaba.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mawasiliano Tigo Bw.Simon Karikari akipokea maelezo Kutoka kwa mtoa huduma mapema leo alipotembelea banda la Tigo patika maonesho ya sabasaba. Tigo inaendelea kutoa ofa kabambe za simu na vifurushi kwa wateja katika msimu huu wa sabasaba.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mawasiliano Tigo Bw.Simon Karikari akipimwa Joto la mwili kabla ya kuingia katika banda la Tigo mapema leo ikiwa ni moja ya tahadhari ya Tigo kwa wateja wake. Tigo inaendelea kutoa ofa kabambe za simu na vifurushi kwa wateja katika msimu huu wa sabasaba.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mawasiliano Tigo Bw.Simon Karikari akipokea maelezo Kutoka kwa mtoa huduma mapema leo alipotembelea banda la Tigo patika maonesho ya sabasaba. Tigo inaendelea kutoa ofa kabambe za simu na vifurushi kwa wateja katika msimu huu wa sabasaba.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages