TMDA YAJIKITA KATIKA KUTOA ELIMU MAONYESHO YA SABASABA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, July 7, 2020

TMDA YAJIKITA KATIKA KUTOA ELIMU MAONYESHO YA SABASABA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na vifaa tiba  (TMDA) Adam Fimbo akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la TMDA kwenye Maonyesho ya 44 ya Biashara yajulikanayo kama Sabasaba.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na vifaa tiba  (TMDA) Adam Fimbo akitoa akiwa na wawezeshaji wanaotoa Elimu kwa wananchi wanaofika kwenye banda lao katika Maonyesho ya 44 ya Biashara yajulikanayo kama Sabasaba.
Ofisa Habari na Elimu kwa Umma wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba TMDA Bw. Sigifrid Mtey akitoa elimu katika banda lao kwenye Maonyesho ya Biashara ya 44 yajulikanayo kama Sabasaba.
Meneja Mawasiliano na Elimu kwa Umma wa TMDA Gaudensia Simwanza akitoa elimu kwa wananchi waliofika kwenye banda la TMD kwenye Maonyesho ya 44 ya Biashara yajulikanayo kama Sabasaba.
Bw. James Ndege akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la TMDA katika maonesho ya Sabasaba yaliyoanza tarehe 1 Julai 2020. Maonesho hayo yanatarajiwa kumalizika tarehe 13 Julai 2020.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages