Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika Swala ya Eid El-Adh’haa iliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. Wa tatu kushoto ni Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally , Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania na wa tano kushoto ni Sheikh Alhad Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam.
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiswali swala ya Eid El Adh’haa kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika Swala ya Eid El-Adh’haa iliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. Wa tatu kushoto ni Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally, Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania na wa tano kushoto ni Sheikh Alhad Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika Swala ya Eid El-Adh’haa iliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. Wa tatu kushoto ni Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally , Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania na wa tano kushoto ni Sheikh Alhad Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika Swala na Baraza la Eid El Adh’haa kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kamanda wa zamani wa Polisi wa Mkoa wa Dar es salaam, Suleiman Kova katika Swala na Baraza la Eid El Adh’haa kitaifa lililofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment