NECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, August 21, 2020

NECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA


BARAZA la Mitihani la Taifa nchini (NECTA) leo Agosti 21, limetangaza matokeo ya kidato cha sita huku ufaulu ukiongezeka ukilinganisha na mwaka uliopita.

Akizungumza na waandishi wa habari visiwani Zanzibar leo, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dkt. Charles Msonde amesema kuwa, shule za Serikali zimefaulu zaidi kuliko shule binafsi ambapo shule nane bora kati ya kumi ni shule za Serikali.

Shule iliyoshika nafasi ya kwanza ni shule ya Serikali ya Kisimiri ya jijini Arusha, ikifuatiwa na Kembos ya Mara na  na Ahmes, Pwani.

BOFYA HAPA KUONA MATOKEA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages