RAIS MAGUFULI AMEMTEUA BALOZI KIJAZI KUWA MKUU WA CHUO KIKUU CHA DODOMA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, August 21, 2020

RAIS MAGUFULI AMEMTEUA BALOZI KIJAZI KUWA MKUU WA CHUO KIKUU CHA DODOMA

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Balozi John Kijazi (pichani) kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Uteuzi huo umeanza leo Agosti 21, 2020, akichukua nafasi ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages