KITILA MKUMBO AWASHA MOTO JIMBO LA UBUNGO WANANCHI WAMIMINIKA KUMSIKILIZA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, September 4, 2020

KITILA MKUMBO AWASHA MOTO JIMBO LA UBUNGO WANANCHI WAMIMINIKA KUMSIKILIZA

01

Mgombea ubunge wa Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CCM, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza na wakazi  wa jimbo hilo wakati wa mkurtano wake wa uzinduzi wa kampeni  uliofanyika katika viwanja vya #EPZA exteno jijini Dar es Salaam
IMG_0081
 Msanii wa muziki wa Bongo fleva PNC akitoa burudani wakati wa uzinduzi wa kampeni jimbo la ubungo
IMG_0102
  Msanii wa muziki wa Bongo  fleva Squzer akifanyua mambo yake wakati wa uzinduzi wa kampeni jimbo la ubungo
IMG_0109
 Msanii mahili wa bongo fleva Peter Msechu akifanya yake
IMG_0149
 Baadhi ya waliotia nia kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Ubungo wakiserebuka pamoja na  Prof. Kitila Mkumbo ambae ndio mteule wakuwakilisha jimbo hilo kuonesha ishara ya upendo na kumuahidi kuwa watakuwa nae bega kwa bega kuhakikisha anashinda ubunge jimbo la ubungo

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages