Magufuli Avua Kofia Hadharani, Amvisha Mondi - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Monday, September 7, 2020

Magufuli Avua Kofia Hadharani, Amvisha Mondi


MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli ameshindwa kujizuia na kuamua kumwita msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, meza kuu kisha kuvua kofia yake na kumvisha mwanamuziki huyo.

Magufuli amefanya hayo leo Jumatatu, Septemba 7, 2020, wakati Diamond alipokuwa akitumbuiza kwenye kampeni za Magufuli katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages