MAJALIWA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAGUGU - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Wednesday, September 2, 2020

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAGUGU

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Magugu wilayani Babati waliojipanga barabarani wakimtaka asimame na kuzungumza nao, Agosti 2, 2020. Alikuwa  akitoka Babati kwenda Mto wa Mbu wilayani Monduli kuzindua Kampeni za CCM wilayani humo.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages