MAMA SAMIA AHUTUBIA MKUTANO MKUBWA WA KAPENI MTWARA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, September 10, 2020

MAMA SAMIA AHUTUBIA MKUTANO MKUBWA WA KAPENI MTWARA

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Mtwara Mjini alipowasili katika Viwanja vya Sabasaba Mtwara Mjini kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 10,2020. Mkoani Mtwara.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassani, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Mtwara Mjini  katika mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya Sabasaba Mtwara Mjini Mkoani Mtwara leo Septemba 10,2020.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Mtwara Mjini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika Viwanja vya Sabasaba Mtwara Mjini leo Septemba 10,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages