
Mkuu wa Wilaya ya Biharamuro Col Mathias Kahabi (aliyevaa fulana ya bluu) akitia saini kwenye kitabu maalum cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye Banda la Shirika la Viwango Tanzanzia (TBS) katika maonyesho ya tatu ya Sekta ya Madini yanayoendelea kwenye viwanja vya Bombambili Mjini Geita. (wakwanza kushoto aliyesimama) ni Afisa Uhusiano Mkuu wa Shirikia hilo Rhoida Andusamile, na kushoto kwake ni Kaimu Mkuu wa TBS kanda ya Ziwa Evarist Mrema.
No comments:
Post a Comment