UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA MCHINGA MKOAI LINDI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, September 11, 2020

UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA MCHINGA MKOAI LINDI


Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mchinga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mwalimu Salma akifurahia jambo na Wafuasi wa chama hicho wakati uzinduzi wa kampeni wa jimbo hilo katika kata ya milola kijiji cha Milola mkoani Lindi uliofanyika Septemba 10, 2020, ambapo katika uzinduzi huo Mgeni mwalikwa alikuwa Mgombea Ubunge aliyepita bila kupingwa katika jimbo la Mtama, Mh.Nape Nnauye.
Wanachama wakiwa sambamba na Wananchi mbalimbali waliojitokeza wakati wa uzinduzi wa Kampeni hizo jimbo la Mchinga mkoani Lindi.
Mgeni mwalikwa Mgombea Ubunge aliyepita bila kupingwa katika jimbo la Mtama, Mh.Nape Nnauye akiteta jambo na Mgombea Ubunge wa jimbo la Mtama, Mama Salma Kikwete na kushoto ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete.
Mgombea Ubunge wa jimbo la Mtama, Mama Salma Kikwete akiwahutubia wananchi wakati wa uzinduzi wa kampeni wa jimbo hilo katika kata ya milola kijiji cha Milola mkoani Lindi uliofanyika Septemba 10, 2020.
Mgeni mwalikwa Mgombea Ubunge aliyepita bila kupingwa katika jimbo la Mtama, Mh.Nape Nnauye akiwahutubia wananchi wakati wa  uzinduzi wa kampeni wa jimbo la Mchinga katika kata ya milola kijiji cha Milola mkoani Lindi uliofanyika Septemba 10, 2020.
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alipokuwa akiwahutubia wananchi wakati wa uzinduzi wa kampeni wa jimbo la Mchinga katika kata ya milola kijiji cha Milola mkoani Lindi uliofanyika Septemba 10, 2020.
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwaaga Wafuasi wa chama hicho pamoja na Wananchi mara baada ya kushiriki kuzindua kampeni za jimbo la Mchinga hapo jana Septemba 10, 2020 mkoani Lindi.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages