RC KUNENGE KUKUTANA NA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI DAR DISEMBA 05 - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, December 1, 2020

RC KUNENGE KUKUTANA NA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI DAR DISEMBA 05








Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge anatarajia kukutana na Wafanyabiashara na Wawekezaji Jijini humo mnamo Disemba 05 Mwaka huu kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere posta.

RC Kunenge amesema lengo la mkutano huo ni kuweka mazingira Bora ya Uwekezaji na biashara ili kila mmoja aweze kunufaika na shughuli anayoifanya.

Aidha RC Kunenge amesema kupitia mazingira Bora ya Biashara na Uwekezaji itarahisisha ukusanyaji mzuri wa Kodi na ongezeko la ajira kwa wananchi.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages