MAKAMU WA RAIS SAMIA AWAFARIJI MAJERUHI WA AJALI YA TRENI DODOMA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Sunday, January 3, 2021

MAKAMU WA RAIS SAMIA AWAFARIJI MAJERUHI WA AJALI YA TRENI DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimfariji bibi Mariam Malembo (24) Mkazi wa Morogoro mmoja kati ya Majeruhi wa ajali ya Treni iliyotokea jana usiku katika Eneo la Bahi Dodoma wakati Treni hiyo ikitokea Dar es salaam kuelekea Mkoani Kigoma, anaepatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa General Jijini Dodoma leo Januari 03,2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwafariji Majeruhi wa ajali ya Treni iliyotokea jana usiku katika Eneo la Bahi Dodoma wakati ikitokea Dar es salaam kuelekea Mkoani Kigoma, wanaopatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa General Jijini Dodoma leo Januari 03,2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimfariji Mtoto Ali Kayuni (8) Mkazi wa Kondoa anaepatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa General Jijini Dodoma leo Januari 03,2021 baada ya kupata ajali ya kujeruhiwa na Umeme. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages