BANK OF AFRICA YAWAPATIA MAFUNZO YA KIBISHARA WATEJA WAKE - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Sunday, August 22, 2021

BANK OF AFRICA YAWAPATIA MAFUNZO YA KIBISHARA WATEJA WAKE

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Bw.Wassia Mushi akifungua warsha ya mafunzo ya kibiashara kwa wateja wa biashara za kati (SME) wa benki hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mmoja wa washiriki wa warsha akipokea Cheti kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Bw.Wassia Mushi (Kulia).
Mmoja wa washiriki wa warsha akipokea Cheti kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Bw.Wassia Mushi (Kulia).
Washiriki wa warsha katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Bank of Africa (BOA) ,Bw. Wassia Mushi (katikati).

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages