PROMOSHENI YA SHINDA NA BALIMI EXTRA LAGER YAZIDI KULETA SHANGWE KANDA YA ZIWA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Sunday, August 22, 2021

PROMOSHENI YA SHINDA NA BALIMI EXTRA LAGER YAZIDI KULETA SHANGWE KANDA YA ZIWA

Mkazi wa Mwanza,Monica Andrew (katikati) akifurahia Power Tiller aliyojishindia kupitia droo ya 5 ya promosheni ya Shinda na Balimi Extra Lager inayoendeshwa na kampuni ya TBL katika mikoa ya kanda ya ziwa,hafla ya kukabidhiwa ilifanyika Kisesa mwishoni mwa wiki,Kulia ni Mkuu wa mauzo wa TBL Kanda ya Ziwa, Issa Makani.
Meneja wa Mauzo wa TBL mkoa wa Kagera, Yuda Lyanga, akiongea wakati wa hafla ya kumkabidhi Power Tiller Mshindi Kutoka Kayanga –Karagwe, Bi Jamila Emanuel (katikati) . Hafla hiyo ilifanyika Omurushaka wilayani Karagwe mwishoni mwa wiki.
Mkazi wa Geita mkoani Mwanza,Yudas Mgabu, akiwa amekalia Power Tiller aliyojishindia kupitia droo ya 5 ya promosheni ya Shinda na Balimi Extra Lager inayoendeshwa na kampuni ya TBL katika mikoa ya kanda ya ziwa,hafla ya kukabidhiwa ilifanyika Usagara Geita mwishoni mwa wiki.

Promosheni ya Shinda na Balimi Extra Lager inayoendeshwa na kampuni ya TBL katika mikoa ya kanda ya ziwa inazidi kuleta shangwe kwa wakazi wa mikoa ya kanda ya ziwa ambapo washindi wa droo za wiki wanaendelea kujishindia Power Tiller za kulimia na zawadi nyinginezo nyingi.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages