BRELA YAHITIMISHA MAFUNZO YAKE YA SIKU TANO KWA MAAFISA BIASHARA DODOMA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, August 20, 2021

BRELA YAHITIMISHA MAFUNZO YAKE YA SIKU TANO KWA MAAFISA BIASHARA DODOMA

Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Wilson Malosha akifafanua jambo wakati wa majadiliano katika mafunzo kwa Maafisa Biashara wa mikoa ya Morogoro, Dodoma na Singida yaliyofanyika katika ukumbi wa JK Convetion Centre Jijini Dodoma.
Maafisa Biashara wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma na Singida wakifuatilia hotuba ya kufungwa kwa mafunzo ya siku tano (5) yaliyoendeshwa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) juu ya sheria za leseni ya biashara yaliyofanyika Jijini Dodoma ambayo yamefungwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Dotto James Jijini Dodoma leo.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages