Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amewakabidhi Zawadi Washindi Vijana Wajasiriamali Wabunifu. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 76 ya UN - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, October 28, 2021

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amewakabidhi Zawadi Washindi Vijana Wajasiriamali Wabunifu. Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 76 ya UN

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti na fedha Mshindi wa Shindano la Ubunifu kwa Vijana Wajasiriamali Barke Abdallah Ukusi kwa Ubunifu wake wa Samaki Mtandaoni na (kushoto kwa Rais) Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw. Zlatan Milisic na (kuia kwa Rais) Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti na fedha Mshindi wa Shindano la Ubunifu kwa Vijana Wajasiriamali Mohammed Wanimo kwa Ubunifu wake wa Mashine ya Kusagia Mwani na (kushoto kwa Rais) Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw. Zlatan Milisic na (kuia kwa Rais) Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages