Benki Ya Absa Tanzania Yasherehekea Kutimiza Miaka Miwili Ya Mafanikio - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Sunday, February 13, 2022

Benki Ya Absa Tanzania Yasherehekea Kutimiza Miaka Miwili Ya Mafanikio

Meneja wa Benki ya Absa Tawi la Iringa, Sheilla Kajuna (wa pili kulia), pamoja na baadhi ya wateja na wafanyakazi wenzake wakikata keki katika hafla kusherehekea miaka miwili tokea benki hiyo ilipobadilisha jina kutoka Barclays na sasa kuwa Absa. Hafla hiyo ilifanyika mjini Iringa jana.
Mmoja wa wateja wa Benki ya Absa Tawi la Mbeya akikata keki huku wateja wengine na wafanyakazi wa tawi hilo wakiangalia, akiwemo Meneja wa Tawi hilo, Paul Mwambashi (wa pili kushoto), katika hafla kusherehekea miaka miwili tokea benki hiyo ilipobadilisha jina kutoka Barclays na sasa kuwa Absa. Hafla hiyo ilifanyika mjini Mbeya jana.
Baadhi ya wateja wa Benki ya Absa Tawi la Moshi, wakionyesha sura za furaha wakati wakikata keki keki kusherehekea miaka miwili tokea benki hiyo ilipobadilisha jia kutoka Barclays kuwa Absa. Hafla hiyo ilifanyika mjini Moshi, Kilimanjaro, jana.
Meneja wa Tawi la Benki ya Absa Tawi la Arusha, Neema Kweka (kulia), pamoja na mmoja wa wateja wake wakikata keki kusherehekea miaka miwili tokea benki hiyo ilipobadilisha jina kutoka Barclays na kuwa Absa. Hafla hiyo ilifanyika mjini Arusha jana.
Wafanyakazi wa Benki ya Absa Tawi la Slipway a jijini Dar es Salaam, Gilliard Gerald na Patricia Kamili wakikata keki pamoja na mteja wao katika hafla ya kushuerehekea miaka miwili tokea benki hiyo ilipobadilisha jina kutoka Barclays na kuwa Absa. Hafla hiyo ilifanyika tawini hapo, Dar esSalaam jana.
Msimamimizi wa Matawi ya Benki ya Absa Tanzania, Mwilongo Msungu ( kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Utawala na Uchanganuzi wa benki hiyo, Musa Wambura wakikata keki kusherehekea miaka miwili ya benki hiyo tangu ibadili jina lake kutoka Barclays na kuwa Absa katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaama jana.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages