MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA AMANI, USALAMA NA USHIRIKIANO NCHINI DRC - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, February 24, 2022

MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA AMANI, USALAMA NA USHIRIKIANO NCHINI DRC

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Kumi wa Wakuu wa Nchi wa Serikali zinazohusika na Mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano nchini DRC na kwenye ukanda wa maziwa makuu uliofanyika Kinshasa, Februari 24, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa nchi wakati aliposhiriki kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Kumi wa Wakuu wa Nchi wa Serikali zinazohusika na Mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano nchini DRC na kwenye ukanda wa maziwa makuu uliofanyika Kinshasa, Februari 24, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akimkabidhi Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Felix Tshekedi Uenyekiti wa Mpango wa Amani , Usalma na Ushirikiano nchini DRC na kwenye ukanda wa maziwa makuu katika Mkutano wa Kumi wa Wakuu wa nchi na Serikali uliofanyika Kinshasa, Februari 24, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages