Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akizungumza na Balozi wa Mali Nchini, Fafre Camara kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Mali. Kikao hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akimsikiliza Balozi wa Mali Nchini, Fafre Camara alipokuwa akizungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Mali katika Kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akipongezana na Balozi wa Mali Nchini, Fafre Camara baada ya mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Mali. Kikao hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment