RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AONDOKA NCHINI KUELEKEA NCHINI UFARANSA KWA ZIARA YA KIKAZI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEID AMANI KARUME ZANZIBAR - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Wednesday, February 9, 2022

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AONDOKA NCHINI KUELEKEA NCHINI UFARANSA KWA ZIARA YA KIKAZI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEID AMANI KARUME ZANZIBAR

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuagana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati akindoka kuelekea Nchini Ufaransa na Ubelgiji kwa ziara ya Kikazi leo 9-2-2022. (Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameungana na viongozi mbali mbali wa Kitaifa katika kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anaeelekea nchini Ufaransa na baadae Ubelgiji kwa ziara maalum ya kikazi katika nchi hizo.

Miongoni mwa viongozi aliuoungana nao Rais Dk. Mwinyi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa wa Abeid Amani Karume ni Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philp Mpango.

Imetayarishwa na Kitengo cha Mawasiliano

Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuagana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati akindoka kuelekea Nchini Ufaransa na Ubelgiji kwa ziara ya Kikazi.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuagana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati akindoka kuelekea Nchini Ufaransa na Ubelgiji kwa ziara ya Kikazi leo 9-2-2022. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages