Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu (SHIVYAWATA) kutoka Mkoa wa Singida walipomtembelea katika Ofisi yake iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma Februari 8, 2022. Kushoto ni Mwenyekiti wa SHIVYAWATA Mkoa wa Singida Bw. Khamis Ayoub na kulia ni Katibu wa SHIVYAWATA Mkoa wa Singida Bw. Ramadhani Mrisho. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU (KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Sharing Buttons
Author Details
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.

No comments:
Post a Comment