WAZIRI MKENDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI WA ZANZIBAR MHE SIMAI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, March 3, 2022

WAZIRI MKENDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI WA ZANZIBAR MHE SIMAI

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof. Adolf Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Simai Mohamed Said Ofisini kwake Jijini Dar es salaam.

Pamoja na mambo mengine katika mazungumzo hayo mawaziri hao wamekubaliana kufanya kazi kwa karibu zaidi katika kupitia Sera Elimu za Tanzania Bara na Zanzibar na mitaala ya Elimu Msingi.
Baada ya kikao hicho Mawaziri hao wamekubalina kuwa na kikao cha pamoja na wataalam na watendaji kutoka Wizara hizo mbili kitakachofanyika Zanzibar hivi karibuni ili kujadili utekekezaji.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages