RAIS MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZEE WA BARAZA LA WAZEE WA CCM PEMBA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, April 14, 2022

RAIS MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZEE WA BARAZA LA WAZEE WA CCM PEMBA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Pemba Bw.Mohammed Abass Mselem, wakati wa mkutano huo wa Wazee uliofanyika katika ukumbi wa jengo la ZSSF Tibirinzi Chakechake Pemba leo 13-4-2022. (Picha na Ikulu)
KATIBU wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Pemba Bw.Abdalla Yussuf Ali akisoma na kuwasilisha taarifa ya Wazee wa Baraza la CCM, wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Chakechake Pemba leo 13-4-2022. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wazee wa Baraza la Wazee wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Pemba, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa jengo la ZSSF Tibirinzi Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu) 

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages