RAIS SAMIA AZUNGUMZA KATIKA UZINDUZI WA FILAMU YA ROYAL TOUR UKUMBI WA GUGGENHEIM MUSEUM, NEW YORK NCHINI MAREKANI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Monday, April 18, 2022

RAIS SAMIA AZUNGUMZA KATIKA UZINDUZI WA FILAMU YA ROYAL TOUR UKUMBI WA GUGGENHEIM MUSEUM, NEW YORK NCHINI MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Muundaaji wa Filamu ya Royal Tour ambaye pia ni Mwandishi wa Habari Maarufu Duniani Peter Greenberg wakati wakijibu maswali ya Wageni mbalimbali mashuhuri waliohudhuria uzinduzi wa Filamu hiyo katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.
Wageni mbalimbali wakielekea ukumbini kushuhudia uzinduzi wa wa filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.
Kikundi cha Ngoma za asili kutoka Bagamoyo kikitumbuiza katika uzinduzi wa filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.
Wageni mbalimbali mashuhuri waliohudhuria uzinduzi wa Filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akitazama Filamu ya Royal Tour pamoja na Wageni mbalimbali mashuhuri New York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages