
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Meya wa Jiji la New York Mhe. Eric Adams kabla ya kuanza mazungumzo yao katika Jiji hilo tarehe 18 Aprili, 2022 nchini Marekani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Meya wa Jiji la New York Mhe. Eric Adams mara baada ya mazungumzo yao leo tarehe 18 Aprili, 2022 nchini Marekani.
.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Meya wa Jiji la New York Mhe. Eric Adams Jijini humo nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Meya wa Jiji la New York Mhe. Eric Adams mara baada ya mazungumzo yao leo tarehe 18 Aprili, 2022 nchini Marekani.

No comments:
Post a Comment