
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Ethiopia, Kamishna Jenerali Demelash Gebremichael ambapo Viongozi hao wamekubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Ethiopia katika masuala ya ulinzi na usalama.
No comments:
Post a Comment