RAIS SAMIA ATEMBELEA KIWANDA KINACHOTENGENEZA MALIGHAFI YA CHUMA, BATI NA BOMBA - UGANDA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Wednesday, May 11, 2022

RAIS SAMIA ATEMBELEA KIWANDA KINACHOTENGENEZA MALIGHAFI YA CHUMA, BATI NA BOMBA - UGANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kuitembelea na kujionea kazi za uzalishaji wa malighafi ya chuma, bati na bomba katika Kiwanda cha Roofings Ltd, Kampala nchini Uganda tarehe 11, Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Kutengeneza Mabati na Mabomba (roofings ltd) Dkt. Sikander Lalani wakati akitembelea Kiwanda hicho kujionea kazi za uzalishaji wa malighafi ya chuma, bati na bomba, Kampala nchini Uganda tarehe 11, Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyekiti ambaye pia Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Kutengeneza Mabati na Mabomba (roofings ltd) Dkt. Sikander Lalani wakati akitembelea na kujionea kazi za uzalishaji wa malighafi ya chuma, bati na bomba katika Kiwanda hicho, Kampala nchini Uganda tarehe 11, Mei, 2022.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages