RAIS MWINYI ASHIRIKI SWALA MASIJD SUNNA KIKWAJUNI ZANZIBAR - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, June 10, 2022

RAIS MWINYI ASHIRIKI SWALA MASIJD SUNNA KIKWAJUNI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipotoa nassaha zake leo kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya Swala ya Ijumaa katika Masjid Sunna Kikwajuni Jijini Zanzibar Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akiitikia dua iliyoombwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi (wa pili kushoto) leo mara baada ya swala ya Ijumaa liyoswaliwa katika Masjid Sunna Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.
Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Masjid Sunna Kikwajuni Jijini Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotoa nassaha zake leo mara baada ya swala ya Ijumaa katika Masjid Sunna Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Sheikh Kassim Haidar Jabbir Alfarsiy leo mara baada ya swala ya Ijumaa katika Masjid Sunna Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages