RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AMEFUNGUA MSIKITI WA JAMI`UL ISTIQAMA BUKOBA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, June 10, 2022

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AMEFUNGUA MSIKITI WA JAMI`UL ISTIQAMA BUKOBA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Msikiti wa JAMI`UL ISTIQAMA Bukoba mjini Mkoani Kagera kwa ajili ya kufungua rasmi Msikiti huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi Msikiti wa JAMI`UL ISTIQAMA Bukoba mjini Mkoani Kagera
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Dini pamoja na Wananchi kwenye Hafla ya ufunguzi wa Msikiti wa JAMI`UL ISTIQAMA Bukoba mjini Mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Tuzo Mwakilishi wa Balozi wa Oman Nchini kwa Niaba ya Balozi kwa kutambua Jitihada zake katika Nyanja mbalimbali za Maendeleo hapa nchini, wakati wa Hafla ya ufunguzi wa Msikiti wa JAMI`UL ISTIQAMA Bukoba mjini Mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Istiqama mara baada ya kufungua rasmi Msikiti wa JAMI`UL ISTIQAMA Bukoba mjini Mkoani Kagera.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages