Dk.Hussein Ali Mwinyi atembelea eneo la Kituo cha Ujenzi wa Barabara ya Juu (Flyover) Aman - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Sunday, August 27, 2023

Dk.Hussein Ali Mwinyi atembelea eneo la Kituo cha Ujenzi wa Barabara ya Juu (Flyover) Aman

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea eneo la Kituo cha Ujenzi wa Barabara ya Juu (Flyover) Amani akiwa katika ziara yake kukagua hatu ya ujenzi wa Mradi huo leo 27-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa. (Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Juu Amani Wilaya ya Mjini Unguja (FLYOVER) akizungumza akiwa katika eneo la mradi huo leo 27-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliani na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati wa ziara yake kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Juu Amani Wilaya ya Mjini Unguja (FLYOVER) akiwa katika eneo la Kituo cha mradi huo leo 27-8-2023 na (kulia kwa Rais) Meneja wa Mradi Xiong Yunxu na Waziri Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages