DUA MAALUM YA KUWAOMBEA VIONGOZI NA WAZEE WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI YAFANYIKA ZANZIBAR - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Monday, February 3, 2025

DUA MAALUM YA KUWAOMBEA VIONGOZI NA WAZEE WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI YAFANYIKA ZANZIBAR

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Ayoub Mohamed Mahmoud (katikati)akiwa pamoja na Muakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mwalim Dokta Haroun Ali Suleiman na Viongozi mbalimbali katika Dua Maalum ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki hafla iliofanyika Katika Msikiti wa Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Ayoub Mohamed Mahmoud (katikati)akiwa pamoja na Muakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mwalim Dokta Haroun Ali Suleiman (Kushoto)na Sheikh wa Kibuteni katika Dua Maalum ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki hafla iliofanyika katika Msikiti wa Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.
Sheikh Kutoka Kizimkazi Hassan Omar Khatibu akiongoza Dua ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki hafla iliofanyika Katika Msikiti wa Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Ayoub Mohamed Mahmoud akizungumza na Waumini wa Dini ya kiislamu kuhusiana na Umoja Upendo na Kudumisha Amani na Utulivu katika hafla ya Dua Maalum ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki hafla iliofanyika Katika Msikiti wa Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.
Mbunge wa Jimbo la Mpendae Tawfik Salum Turky akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu waliohudhuria katika Dua Maalum ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki hafla iliofanyika Katika Msikiti wa Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.
Muakilishi wa Jimbo la Makunduchi ambae pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Mwalim Dokta Haroun Ali Suleiman akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu waliohudhuria katika Dua Maalum ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki hafla iliofanyika Katika Msikiti wa Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.
Muakilishi wa Jimbo la Makunduchi ambae pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Mwalim Dokta Haroun Ali Suleiman akizungumza na akina Mama waliohudhuria katika Dua Maalum ya kuwaombea Viongozi walioko madarakani na Wazee waliotangulia Mbele ya haki katika Skuli ya Kibuteni Mkoa wa Kusini. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Ayoub Mohamed Mahmoud.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages