Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.,Hussein Ali Mwinyi Akabidhi Msaada wa Futari kwa Makundi Maalumu Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Wednesday, March 12, 2025

demo-image

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.,Hussein Ali Mwinyi Akabidhi Msaada wa Futari kwa Makundi Maalumu Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja

6017
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Futari Mwananchi Aviwa Omar Khamis, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 12-3-2025, amakabidhi sakada hiyo ya futari kwa Wananchi wa makundi maalumu.
6022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Futari Mwananchi Abdulrahim Bakari Abdallah, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 12-3-2025, amakabidhi sakada hiyo ya futari kwa Wananchi wa makundi maalumu.
6025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Mwananchi Hafsa Omar Hamad,kabla ya kukabidhi sadaka ya futari, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 12-3-2025, amakabidhi sakada hiyo ya futari kwa Wananchi wa makundi maalumu.
6029
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Futari Mwananchi Hafsa Omar Hamad, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 12-3-2025, amakabidhi sakada hiyo ya futari kwa Wananchi wa makundi maalumu.
6037
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Futari Mwananchi Hassan Mussa Hassan, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 12-3-2025, amakabidhi sakada hiyo ya futari kwa Wananchi wa makundi maalumu.
6041

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *