MAZIKO YA RUBANI ABBAS MWINYI NI KESHO! - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, September 25, 2025

MAZIKO YA RUBANI ABBAS MWINYI NI KESHO!

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt Hussein Ali Hassan Mwinyi anasikitika kutangaza kifo cha Kaka yake Rubani Abbas Ali Hassan Mwinyi aliyefariki leo, Alhamis Tarehe 25 Septemba 2025 Jijini Zanzibar.

Ibada ya kumsalia Marehemu itafanyika Masjid Jamia Zinjibar, Mazizini ( جميع ) - Msikiti wa Qaboos baada ya sala ya Ijumaa na baada ya hapo maziko yanafanyika Mangapwani katika eneo ambalo amezikwa Mzee Ali Hassan Mwinyi - ambapo watu waliopo maeneo ya Mangapwani, Bumbwini, Fujoni na maeneo ya karibu watapata kutabaruku kabla ya kuzika.

Visomo Msikitini vitaanza saa 4 asubuhi.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages