Tume ya Uchaguzi Zanzibar Yakutana na Wadau wa Uchaguzi Zanzibar Kuzungumzia Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar 2025 - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, September 30, 2025

Tume ya Uchaguzi Zanzibar Yakutana na Wadau wa Uchaguzi Zanzibar Kuzungumzia Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar 2025

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji GoergeJoseph Kazi akizungumza na kuufungua mkutano wa Wadau wa Uchaguzi kuhusiana na hatua za maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa mwaka 2025, uliofanyika katika Ukumbi wa Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid Jengo la Afisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-9-2025.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages