MIRADI YA MAZINGIRA YANUFAISHA ZANZIBAR - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Wednesday, February 4, 2026

MIRADI YA MAZINGIRA YANUFAISHA ZANZIBAR

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akijibu maswali bungeni wakati wa Kikao cha Saba cha Mkutano wa Pili wa Bunge jijini Dodoma leo Februari 04, 2026.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (kulia) akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange wakati wa kipindi cha maswali na majibu katika Kikao cha Saba cha Mkutano wa Pili wa Bunge jijini Dodoma leo Februari 04, 2026. Mbele ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages