Mkurugenzi Mtendaji wa Absa Bank akutana na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Malawi, Zambia na Zimbabwe kuimarisha Mahusiano ya kibiashara. - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Monday, February 2, 2026

Mkurugenzi Mtendaji wa Absa Bank akutana na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Malawi, Zambia na Zimbabwe kuimarisha Mahusiano ya kibiashara.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (kulia), akiagana na Bw. Nathan Belete, Mkurugenzi wa Benki ya Dunia anayesimamia Malawi, Tanzania, Zambia na Zimbabwe, baada ya mkutano wa kimkakati wa kibiashara uliofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Hyatt Regency Park jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ulilenga kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi hizo mbili.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (kushoto), akizungumza na Bw. Nathan Belete, Mkurugenzi wa Benki ya Dunia anayesimamia Malawi, Tanzania, Zambia na Zimbabwe, baada ya mkutano wa kimkakati wa kibiashara uliofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Hyatt Regency Park jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ulilenga kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi hizo mbili.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (kushoto), akiwa na Bw. Nathan Belete, Mkurugenzi wa Benki ya Dunia anayesimamia Malawi, Tanzania, Zambia na Zimbabwe, baada ya mkutano wa kimkakati wa kibiashara uliofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Hyatt Regency Park jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ulilenga kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi hizo mbili.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages