Naibu
Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza
wakati wa ziara ya kutembelea Bandari ya Zanzibar, ikiwa na lengo la
kukagua mifumo ya udhibiti wa uingizwaji wa Dawa za Kulevya huku akiliagiza
Jeshi la Polisi Zanzibar kushirikiana na Uongozi wa Bandari, kuhakikisha
ukaguzi wa mizigo unafanyika ili kukomesha uingiaji wa dawa hizo ambazo
humaliza nguvu kazi ya Taifa. Wakwanza kushoto ni Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mohamed Ahmada Salum
na anayefuatia ni Mkurugenzi Mkuu Bandari ya Zanzibar, Kapteni Mstaafu Abdula
Juma.
Naibu
Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akitembea
kuelekea sehemu inayokaguliwa mizigo wakati wa ziara ya kutembelea
Bandari ya Zanzibar, ikiwa na lengo la kukagua mifumo ya udhibiti wa uingizwaji
wa Dawa za Kulevya, huku akiliagiza Jeshi la Polisi Zanzibar, kushirikiana na
Uongozi wa Bandari kuhakikisha ukaguzi wa mizigo unafanyika ili kukomesha
uingiaji wa dawa hizo ambazo humaliza nguvu kazi ya Taifa.Wakwanza kulia
ni Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar,Mohamed Ahmada Salum na anayefuatia ni Mkurugenzi Mkuu Bandari
ya Zanzibar, Kapteni Mstaafu Abdula Juma.
Naibu
Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akikagua jinsi
ukaguzi wa mizigo unavyofanyika kupitia komputa wakati wa ziara ya kutembelea
Bandari ya Zanzibar ikiwa na lengo la kukagua mifumo ya udhibiti wa uingizwaji
wa Dawa za Kulevya, huku akiliagiza Jeshi la Polisi Zanzibar kushirikiana na
Uongozi wa Bandari kuhakikisha ukaguzi wa mizigo unafanyika ili kukomesha
uingiaji wa dawa hizo ambazo humaliza nguvu kazi ya Taifa. Kulia ni Afisa wa
Bandari anayeshughulika na ukaguzi, Adam Masoud.
Mfanyakazi
wa kitengo cha mizigo Bandari ya Zanzibar, Saleh Masoud akikagua moja ya mzigo
wa abiria wanaoingia kupitia bandari hiyo ambapo Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, ameliagiza Jeshi la Polisi Zanzibar kushirikiana na Uongozi wa Bandari hiyo kuhakikisha ukaguzi wa mizigo unafanyika ili kukomesha uingiaji wa Dawa za Kulevya ambazo zimekuwa zikiharibu nguvu kazi ya Taifa.
Mkurugenzi
Mkuu Bandari ya Zanzibar, Kapteni Mstaafu Abdula Juma (wapili kushoto),
akimsikiliza Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni, wakati wa ziara ya kutembelea bandari hiyo ikiwa na lengo
la kukagua mifumo ya udhibiti wa uingizwaji wa Dawa za Kulevya huku akiliagiza
Jeshi la Polisi kushirikiana na Uongozi wa Bandari kuhakikisha ukaguzi wa
mizigo unafanyika ili kukomesha uingiaji wa dawa hizo ambazo humaliza nguvu
kazi ya Taifa.Wakwanza kushoto ni Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mohamed Ahmada Salum na
wakwanza kulia ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud
Sururu.
Kifaa
cha kubebea kontena kikiwa kimebeba kontena tayari kupelekwa kwenye mashine
maalumu ya ukaguzi ambayo hutumia mionzi kukagua mzigo uliopo ndani, ambapo Naibu
Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameliagiza
Jeshi la Polisi kushirikiana na Uongozi wa Bandari ya Zanzibar kukagua mizigo
yote inayoingia ili kudhibiti uingiaji wa Dawa za Kulevya Visiwani Zanzibar.
No comments:
Post a Comment