Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Mbagala, Sady Mwang’onda (wa pili kulia) na Meneja
Bidhaa za Uwekezaji wa benki hiyo, Dorothea Mabonye (wanne kushoto), wakikata
utepe kuashirikia uzinduzi rasmi wa kampeni ya akaunti ya malengo ya NBC.
Kampeni hiyo itakayodumu kwa muda wa miezi mitatu na kufanyika nchini kote
itashuhudia washindi sita wakijishindia kila mmoja gari jipya aina ya Suzuki
Carry ‘kirikuu’ lenye thamani ya shs milioni 30. Washindi wengine 24
watajishindia kila mmoja zawadi ya pesa taslimu shs milioni moja hivyo kufanya
jumla ya zawadi zote kufikia thamani ya shs milioni 204. Hafla hiyo ilifanyika
katika tawi hiyo, Dar es Salaam leo. Wengine ni baadhi ya maofisa wa benki
hiyo.
Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Mbagala, Sady Mwang’onda (katikati), Meneja wa Bidhaa
za Uwekezaji wa benki hiyo, Dorothea Mabonye (kulia kwake), na Mkuu wa Bidhaa na Wateja Rejareja, Andrew Lyimo
(kushoto kwake), pamoja na baadhi ya maofisa wa benki hiyo wakishangilia mara
baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya akaunti ya malengo ya NBC uliofanyika
katika tawi hilo, Dar es Salaam leo. Kampeni hiyo itakayodumu kwa muda wa miezi
mitatu na kufanyika nchini kote itashuhudia washindi sita wakijishindia kila
mmoja gari jipya aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’ lenye thamani ya shs milioni
30. Washindi wengine 24 watajishindia kila mmoja zawadi ya pesa taslimu shs
milioni moja.
Mkuu Bidhaa na Wateja Rejareja wa Benki ya NBC, Andrew
Lyimo (katikati), akihojiwa na waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari mara
baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya akaunti ya malengo ya NBC uliofanyika
katika tawi Mbagala nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo. Kampeni hiyo
itakayodumu kwa muda wa miezi mitatu na kufanyika nchini kote itashuhudia
washindi sita wakijishindia kila mmoja gari jipya aina ya Suzuki Carry
‘kirikuu’ lenye thamani ya shs milioni 30. Washindi wengine 24 watajishindia
kila mmoja zawadi ya pesa taslimu shs milioni moja.
Meneja Masoko wa NBC, Alina Maria Kimaryo akizungumza
katika hafla ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya akaunti ya Malengo ya benki hiyo,
Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Meneja wa tawi la Mbagala, Sady
Mwang’onda, Meneja wa Bidhaa za Uwekezaji, Dorothea Mabonye, Mkuu wa Bidhaa na
Wateja Rejareja, Andrew Lyimo na Mtenya Cheya mmoja wa waratibu wa kampeni
hiyo.
Wafanyakazi wa NBC Tawi la
Mbagala pamoja na maofisa wengine wa benki hiyo wakipozi kwa picha mbele ya gari
aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’ atakalojishindia mmoja wa washindi sita wa
kampeni ya akaunti ya Malengo ya benki hiyo. Washindi wengine 24
watajindishindia pesa taslimu shs milioni moja kila mmoja. (ALL PHOTOS BY MPP LTD)
No comments:
Post a Comment